Wednesday, January 16, 2013

Club banger- Unique Sisters. mp3

Baada ya ukimya mrefu, wadada wa familia moja, Unique Sisters a.k.a Unique Dadaz wameamua kurudi kwenye gemu la muziki wa bongo flavour kwa kudondosha Single yao mpya iitwayo 'Club Banger' . Kwa mantiki hiyo wamerudi upya, lakini wataweza ushindani uliopo sasa hivi??? Tutaona, karibuni sana Unique Dadaz.

0 comments:

Post a Comment