Friday, January 11, 2013

DMX AWADISS MARAPA WAKIKE WASASA,AMTAJA NA DRAKE KWENYE LIST

Inafahamika wazi kuwa DMX sio shabiki wa Drake, lakini kumbe hadi marapa mademu?? Katika post  yake ya twitter ya hivi karibuni DMX ameonekana wazi kuwa hana mzuka mademu wanao rap wasasa hivi. Lakini cha kushangaza wakati akitaja list ya marapa hao wakike  amemalizia na jina la Drake. Mimi sijui maana yake kiukweli. Lakini anachomaanisha anakijua mwenyewe. soma alivyoandika DMX : Hii ni video ikimuonesha Dmx akimuongelea Drake.

0 comments:

Post a Comment