Saturday, January 26, 2013

50Cent amemaanisha nini kutumiaChain ya mahasimu wake wa MMG kwenye video ya 'Major Distribution??'

Kwenye Video mpya ya 50Cent aliyowashirikisha Snoop, na Young Jeezy iitwayo Major Distribution, kuna kipande kinamuonesha dogo akiwa kwenye kiti cha magari ya watoto akiwa ametupia cheni yenye Logo ya MMG ambao ni mahasimu wakubwa na 50.Hadi sasa bado sijapata mantiki na lengo la 50 kutumia cheni hiyo kwenye video yake. Inawezekana jamaa anamaana yake ingawa bado hajaiweka wazi.

Get More: Music News

0 comments:

Post a Comment