Tuesday, January 29, 2013

Fid Q aweka hewani Beats alizowahi tumia, asema ruksa kuzitumia kama unauwezo

Mkali Fareed Kubanda, Fid Q ameweka wazi kuwa kama kuna Mc yeyote anayehitaji kutumia beats ambazo yeye alishazitumia ni ruksa. Ameyasema hayo leo kupitia akaunti yake ya facebook. Anahitaji ma MC wenye uwezo wa kuzitendea haki beats zake. Unaweza kuzipata hizo beats kwa kubonyeza HAPA
Kazi ni kwenu watuwangu ambao huwa mnalalamika hamna hela ya kugonga beat. Ni muda wenu wa kuonesha uwezo.

0 comments:

Post a Comment