Thursday, January 10, 2013

The Game ampa shule Justin Bieber juu ya matumizi ya Mjani 'marijuana'

Mkali aliyewahi kuwa kwenye kundi la G. Unit, The Game ametoa ushauri kwa Justin Bieber mara baada ya Bieber kukumbwa na kashfa ya matumizi ya mjani 'marijuana'. The Game amesema kuwa licha ya ukweli kwamba watu wengi maarufu wanatumia mjani lakini Bieber hakuwa sahihi na anahitaji ushauri.

0 comments:

Post a Comment