Saturday, January 19, 2013

Wiz Khalifa asema 'Bado hatujaoana na Amber Rose'

Mkali Wiz Khalifa juzi kati ameweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake Amber Rose bado hawajaoana ingawa huwa wanaitana Mume na Mke. Amesema hayo kufuatia kauli ya hivi karibuni ya Amber kuwa wameoana. Wiz ameiongelea hiyo kauli kuwa haikuwa serious bali ni utani tu. Amber kwasasa ni mjamzito na anatarajiwa kujifungua siku yoyote kuanzia hivi sasa. So soon watakuwa baba na mama. All the best Wiz & Amber

0 comments:

Post a Comment