Wednesday, January 30, 2013

Fabulous arudi upya,aahidi makubwa kwenye album ijayo ya 'Loso's way2'

Mkali wa Rap, Fabulous ameibuka na kusema kuwa kwasasa yupo kwenye hatua za mwisho katika kukamilisha albamu yake yenye muendelezo wa albamu yake namba moja ya 'Loso's way' ya 2009.Albamu hii anaiita 'Loso's way2'. Amefunguka hayo kupitia Billboard na amesema albam hiyo amewashirikisha wakali kibao kama vile Rick Ross, Chris Brown, John Legend, Neyo, Trey songz na wengine wengi.

0 comments:

Post a Comment