Saturday, January 26, 2013

Jay-Z & Justin Timberlake wakiwa katika Upigaji wa video ya 'Suit & Tie'




Justin Timberlake ameshaanza utengenezaji wa video ya wimbo wake mpya aliyomshirikisha mkali Jay-Z uitwayo 'suit & Tie'. Hizi picha zinawaonesha wakali hao wakiwa katika setup za uchukuaji wa video hiyo. Jamaa wanaonekana kuwa wanafuraha kinoma. Hapo nadhani bado kutupia koti tu kukamilisha suti. Anyways, nadhani itakuwa bonge ya video.

0 comments:

Post a Comment