Wednesday, January 23, 2013

Fid Q atunukiwa cheti cha heshima ya kukubalika na 'Under the Same sun'

Mkali Fid Q ametunukiwa cheti na Shirika la 'Under the same sun' ambalo linajihusisha  zaidi na kuwasaidia walemavu wa ngozi 'Albino'. Shirika hilo limemtunukia Ngosha cheti hiko kutokana na jitihada alizoonesha katika kuwasaidia walemavu wa ngozi nchini. Hii ni kwa mujibu wa Ngosha kupitia Facebook page yake. Hongera sana Ngosha.

0 comments:

Post a Comment