Wednesday, January 30, 2013

Rihanna afunguka rasmi kuwa wamerudiana na Chris Brown

Mwanadada Rihanna ameweka wazi kuwa yeye na Chris Brown kwasasa wameamua kurudisha mapenzi yao kama zamani. Akiongea na Rolling stone Riri amesema kuwa anaamini Brown hawezi kumfanyia tena kama yale aliyomtendea mwaka 2009 yaliyopelekea kuvurugana. Amesema kuwa kwasasa wamebadilika sana sio kama zamani. "You see us walking somewhere, driving somewhere, in the studio, in the club, and you think you know. But it's different now. We don't have those types of arguments anymore. We talk about sh--. We value each other. We know exactly what we have now, and we don't want to lose that."
Bac sawa!!!

0 comments:

Post a Comment