Wednesday, January 2, 2013

MUIGIZAJA WA BONGO MOVIE SAJUKI AFARIKI DUNIA

Muigizaji wa filamu za Bongo Movie, Sajuki amefariki alfajiri ya leo akiwa hospitali ya rufaa ya Muhimbili. Sajuki amekuwa akisumbuliwa na afya yake kwa muda mrefu hadi kufikia hatua ya kupelekwa India na juzijuzi serikali ilikua imejitolea kushughulikia matibabu yake. Kazi ya Mungu haina makosa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen.

0 comments:

Post a Comment