Wednesday, January 30, 2013

RICK ROSS SASA KULINDWA NA WALINZI 24

Mkali na kiongozi wa MMG Rick Ross, hivi sasa inasemekana ameamua kuajiri walinzi 24 kufuatia kukoswakoswa na risasi juzi kati. Lakini wadadisi wa mambo wanadai kuwa Rossay alishakuwaga na walinzi idadi hiyo tangu kitambo, ila kikubwa kinachoonekana sasa ni kuwa hawa walinzi wake wasasa inasemekana ni majamaa ambao ni ma professional katika kutupa michomo ya bunduki na pia inawezekana wakawa ni wanajeshi wastaafu. Duuuu!! Bongo baadae sana.

0 comments:

Post a Comment