Sunday, January 6, 2013

JUSTIN BIEBER AFUNGUKA BAADA YA SHUTUMA YA KUVUTA MARIJUANA

Mkali Justin Bieber, hivi karibuni alikumbwa na kashfa ya kutumia madawa ya kulevya aina ya marijuana. Hayo yametokea juzi kati baada ya mtandao mmoja kusambaza picha zikimuonesha Bieber akijilipua na mjani. Hata hivyo Bieber kupitia akaunti yake ya twitter ameonekana kukanusha na kusema kuwa ni jitihada za haters wake kutaka kumharibia. Ameandika  "everyday growing and learning. trying to be better. u get knocked down, u get up." ( Kilasiku nakua na kujifunza, najaribu kuwa bora zaidi. Unapoangushwa we nyanyuka). Basi sawa.

0 comments:

Post a Comment