Sunday, January 6, 2013

EMINEM, MKALI ANAYETARAJIA KUACHIA ALBAM MWAKA HUU 2013

Baada ya ukimya mrefu kiaina, hiphop superstar, Marshal Mathers 'Eminem' ameweka wazi nia yake ya kuachia Albam ndani ya mwaka huu 2013,ingawa hajaweka wazi ni lini ataiachia. Wakali wengine wanaotarajia kuachia albamu m mwaka huu ni pamoja na Jay-Z 'Hov',50Cent, J.Cole,Drake, Big Sean, Knye West, Lil Wayne, Pusha T na wengine kibao. Natumaini 2013 utakuwa ni mwaka mzuri wa Hip hop.

0 comments:

Post a Comment