Thursday, January 31, 2013

DJ Choka - Press Play HD feat Mrap, Gosby, Vannesa, Mabeste,vanessa md...

Wednesday, January 30, 2013

Rihanna afunguka rasmi kuwa wamerudiana na Chris Brown

Mwanadada Rihanna ameweka wazi kuwa yeye na Chris Brown kwasasa wameamua kurudisha mapenzi yao kama zamani. Akiongea na Rolling stone Riri amesema kuwa anaamini Brown hawezi kumfanyia tena kama yale aliyomtendea mwaka 2009 yaliyopelekea kuvurugana. Amesema kuwa kwasasa wamebadilika sana sio kama zamani. "You see us walking somewhere, driving somewhere, in the studio, in the club, and you think you know. But it's different now. We don't have those types of arguments anymore. We talk about sh--. We value each other. We know exactly what we have now, and we don't want to lose that."
Bac sawa!!!

Fabulous arudi upya,aahidi makubwa kwenye album ijayo ya 'Loso's way2'

Mkali wa Rap, Fabulous ameibuka na kusema kuwa kwasasa yupo kwenye hatua za mwisho katika kukamilisha albamu yake yenye muendelezo wa albamu yake namba moja ya 'Loso's way' ya 2009.Albamu hii anaiita 'Loso's way2'. Amefunguka hayo kupitia Billboard na amesema albam hiyo amewashirikisha wakali kibao kama vile Rick Ross, Chris Brown, John Legend, Neyo, Trey songz na wengine wengi.

RICK ROSS SASA KULINDWA NA WALINZI 24

Mkali na kiongozi wa MMG Rick Ross, hivi sasa inasemekana ameamua kuajiri walinzi 24 kufuatia kukoswakoswa na risasi juzi kati. Lakini wadadisi wa mambo wanadai kuwa Rossay alishakuwaga na walinzi idadi hiyo tangu kitambo, ila kikubwa kinachoonekana sasa ni kuwa hawa walinzi wake wasasa inasemekana ni majamaa ambao ni ma professional katika kutupa michomo ya bunduki na pia inawezekana wakawa ni wanajeshi wastaafu. Duuuu!! Bongo baadae sana.

Tuesday, January 29, 2013

Fid Q aweka hewani Beats alizowahi tumia, asema ruksa kuzitumia kama unauwezo

Mkali Fareed Kubanda, Fid Q ameweka wazi kuwa kama kuna Mc yeyote anayehitaji kutumia beats ambazo yeye alishazitumia ni ruksa. Ameyasema hayo leo kupitia akaunti yake ya facebook. Anahitaji ma MC wenye uwezo wa kuzitendea haki beats zake. Unaweza kuzipata hizo beats kwa kubonyeza HAPA
Kazi ni kwenu watuwangu ambao huwa mnalalamika hamna hela ya kugonga beat. Ni muda wenu wa kuonesha uwezo.

Sunday, January 27, 2013

Nikki Mbishi asema wimbo wake utaitwa 'NEY WA MITEGO' atoa mistari kadhaa Facebook.

Kupitia page yake ya facebook Nikki Mbishi 'Baba Malcolm' leo kaibuka na Post hii hapa chini. Hebu isome mwenyewe pamoja na comment za wadau then tafakari. Ukipata jibu niambie itamuweka katika mazingira gani na msanii mwenye jina linalo fanana na jina la wimbo wake. Siongei saaana.




    • Fredy Rafael Nikki Mbish ney asije akaanzisha bifu la mwaka
    • Amina Hassan Kijana mbn kam unaanza chokochoka mtaonana wabaya muda c mrefu
    • Paul Francis Ha ha ha ha ha ha haaa hii ni hatariiiiiiiiiii.........
    • Scrank Dapa Slopadanga Ney hawez vumilia, nazan unatafuta bifu maana cjui ka ataelewa kama 2lvoelewa sis
    • Sebastian James Jr. mmmhhhhhh we subir vumbi la hyooo muhun mwehu maaana dah
    • Joel Ndanzi Mmmmmmmh! Mvua ya ugomv hiyoooooo!
    • Sindato Conscious oiii!!! xaxa unataka kubakwa nick mbxh
      Hope Lee Duh... Meipenda iyo!
    • Dallarz Ukuni Duuh!ushauri wa bure achana na bifu za namna hiyo cz inaweza ikafanya watu wakuarafat bure mji uuone mchungu
    • Issa Mwalimu Aisee idea ni nzuri ila nahis bifu nzito inakuja
    • Saleh Kawambwa Ucpende cfa za kijinga!
    • Tamka Samweli idea nzuri lakini jina la wimbo sio kaka,achana nalo coz utakumbana na beef zsizo na maana

    • Aloyce Këšşý wamekuchokoza midomo imeponza vichwa its over niko soba nasiko chicha
    • Shomary Omary Babuu Kip it rily... f**k dem wack mc'z til dem drop. Fear none RESPECT few BROZA.

Saturday, January 26, 2013

50Cent amemaanisha nini kutumiaChain ya mahasimu wake wa MMG kwenye video ya 'Major Distribution??'

Kwenye Video mpya ya 50Cent aliyowashirikisha Snoop, na Young Jeezy iitwayo Major Distribution, kuna kipande kinamuonesha dogo akiwa kwenye kiti cha magari ya watoto akiwa ametupia cheni yenye Logo ya MMG ambao ni mahasimu wakubwa na 50.Hadi sasa bado sijapata mantiki na lengo la 50 kutumia cheni hiyo kwenye video yake. Inawezekana jamaa anamaana yake ingawa bado hajaiweka wazi.

Get More: Music News

Jay-Z & Justin Timberlake wakiwa katika Upigaji wa video ya 'Suit & Tie'




Justin Timberlake ameshaanza utengenezaji wa video ya wimbo wake mpya aliyomshirikisha mkali Jay-Z uitwayo 'suit & Tie'. Hizi picha zinawaonesha wakali hao wakiwa katika setup za uchukuaji wa video hiyo. Jamaa wanaonekana kuwa wanafuraha kinoma. Hapo nadhani bado kutupia koti tu kukamilisha suti. Anyways, nadhani itakuwa bonge ya video.

Saturday, January 19, 2013

Rihanna na Chris Brown wapiga collabo ya track nyingine

Chris Brown na Rihanna wamekuwa wakiwaweka mashabiki wao njia panda juu ya mahusiano yao ya kimapenzi. Brizy na Riri walikuwa wapenzi awali, kisha wakatangaza kuachana, lakini siku za hapa karibuni wamekuwa wakionekana wakiwa pamoja na katika pozi za kimapenzi. Na zaidi ya hilo wameweza kushirikiana katika ngoma ya Riri 'Birthday cake'. Then kuna matukio ya picha kadha za utata katika istagram zao zinazowaonesha wapenzi hao kuwa wamerudiana lakini hawataki kutangaza rasmi. Na leo hii Rihanna na Chris Brown wapo studio wakitengeneza ngoma ya pamoja tena iitwayo 'stay'. Katika cover ya track hiyo ambayo ndo hii unayoiona, kwa mbali anaonekana Rihanna akiwa anambusu mtu anaesemekana kuwa ni Brizzy kutokana na tattoo zinazoonekana shingoni. Anyways sio kesi sana, kikubwa ni kuwa huwa wanafanya ngoma kali wakiwa pamoja, na huwa zina hit. All the best Brizzy na Riri.

Destiny's Child waungana upya, watoa track ya pamoja.

Wanadada watatu waliokuwa wakiunda kundi la Destiny's Child (Beyonce Knowles, Kelly Rowland na Michelle Williams) ambao walitengana miaka kadhaa iliyopita wameamua kulirudisha kundi hilo. Katika kulithibitisha hilo wametoa single ya pamoja mpya iitwayo 'Nuclear' iliyotengenezwa na kuandikwa na Pharrell Williams na kwasasa wanafanyia kazi albam yao mpya ambayo inatarajiwa kuachiwa Januari 29 mwaka huu. Hii inafanana na story ya Juzi niliyoandika ya Kurudi upya kwa kundi la 'Unique Sisterz' la hapa bongo.
Hope ni mwaka mzuri kwa makundi.

T.I AELEZEA UWEZO WAKE KATIKA GAME, ASEMA ALBAM YAKE MPYA YATHIBITISHA HILO

Mkali kutoka ATL, T.I amesema kuwa watu wenye shaka na uwezo wake kwenye gemu bado hawamjui fresh. Akiongea na DX T.I amesema kuwa hakuna kitu kibaya kama kuambiwa huna uwezo wa kufanya kitu ambacho uliumbwa ili ukifanye. Kwa miaka 11 ndani ya gemu hadi hivi sasa bado kuna watu hawaamini uwezo wa T.I. Na hiki ndicho kitu kinachomuumiza kichwa. Kupitia albamu yake mpya, Trouble Man: Heavy Is the Head T.I anataka kuwaprove wrong hao wasioamini uwezo wake.
Na katika hatua nyingine imeripotiwa kuwa T.I amemaliza mkataba wake na label ya Atlantic Records na kwasasa ni free agent, na ameweka wazi kuwa anahitaji kusaini label/record deal mpya kwa dola milioni sabini na tano ($75 million) na tayari Dr. Dre na Jay-z wameonesha nia ya kumsainisha mkali huyu kupitia Interscope na Roc Nation.

Wiz Khalifa asema 'Bado hatujaoana na Amber Rose'

Mkali Wiz Khalifa juzi kati ameweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake Amber Rose bado hawajaoana ingawa huwa wanaitana Mume na Mke. Amesema hayo kufuatia kauli ya hivi karibuni ya Amber kuwa wameoana. Wiz ameiongelea hiyo kauli kuwa haikuwa serious bali ni utani tu. Amber kwasasa ni mjamzito na anatarajiwa kujifungua siku yoyote kuanzia hivi sasa. So soon watakuwa baba na mama. All the best Wiz & Amber

Wednesday, January 16, 2013

Darasa Ft. Winnie - Nishike Mkono ( Official Video )

Dullayo- Bongo movie mp3

Single ya Justin Timberlake 'Suit & Tie' yafanya kweli kwenye mauzo Mtandaoni

Single mpya ya Justin Timberlake iitwayo 'suit & tie' akiwa amemshirikisha mkali kutoka Brooklyn Jay-Z inatarajiwa kufanya vizuri katika mauzo na inatarajiwa kwa wiki ya kwanza kufikia 330,000 hadi 350,000 kupitia downloads za itune. Isikilize hapa.

Club banger- Unique Sisters. mp3

Baada ya ukimya mrefu, wadada wa familia moja, Unique Sisters a.k.a Unique Dadaz wameamua kurudi kwenye gemu la muziki wa bongo flavour kwa kudondosha Single yao mpya iitwayo 'Club Banger' . Kwa mantiki hiyo wamerudi upya, lakini wataweza ushindani uliopo sasa hivi??? Tutaona, karibuni sana Unique Dadaz.

Je, Bonta ana bifu na Q. The Don???

Ishazoeleka mkali Bonta kutoka kaskazini kwa weusi kufanya kazi na Producer Q-The Don, lakini katika ngoma yake mpya iitwayo Maktaba, Bonta hakufanya na Q na mwanzo wa track hiyo anasikika akisema kuwa "...it's not Q. the Don no more.." sasa maswali yanayo ulizwa ni je, Bonta na Q haziivi tena au??? Utayafahamu hayo soon humuhumu. Keep on following.

Friday, January 11, 2013

DMX AWADISS MARAPA WAKIKE WASASA,AMTAJA NA DRAKE KWENYE LIST

Inafahamika wazi kuwa DMX sio shabiki wa Drake, lakini kumbe hadi marapa mademu?? Katika post  yake ya twitter ya hivi karibuni DMX ameonekana wazi kuwa hana mzuka mademu wanao rap wasasa hivi. Lakini cha kushangaza wakati akitaja list ya marapa hao wakike  amemalizia na jina la Drake. Mimi sijui maana yake kiukweli. Lakini anachomaanisha anakijua mwenyewe. soma alivyoandika DMX : Hii ni video ikimuonesha Dmx akimuongelea Drake.

Thursday, January 10, 2013

Sunday, January 6, 2013

EMINEM, MKALI ANAYETARAJIA KUACHIA ALBAM MWAKA HUU 2013

Baada ya ukimya mrefu kiaina, hiphop superstar, Marshal Mathers 'Eminem' ameweka wazi nia yake ya kuachia Albam ndani ya mwaka huu 2013,ingawa hajaweka wazi ni lini ataiachia. Wakali wengine wanaotarajia kuachia albamu m mwaka huu ni pamoja na Jay-Z 'Hov',50Cent, J.Cole,Drake, Big Sean, Knye West, Lil Wayne, Pusha T na wengine kibao. Natumaini 2013 utakuwa ni mwaka mzuri wa Hip hop.

JUSTIN BIEBER AFUNGUKA BAADA YA SHUTUMA YA KUVUTA MARIJUANA

Mkali Justin Bieber, hivi karibuni alikumbwa na kashfa ya kutumia madawa ya kulevya aina ya marijuana. Hayo yametokea juzi kati baada ya mtandao mmoja kusambaza picha zikimuonesha Bieber akijilipua na mjani. Hata hivyo Bieber kupitia akaunti yake ya twitter ameonekana kukanusha na kusema kuwa ni jitihada za haters wake kutaka kumharibia. Ameandika  "everyday growing and learning. trying to be better. u get knocked down, u get up." ( Kilasiku nakua na kujifunza, najaribu kuwa bora zaidi. Unapoangushwa we nyanyuka). Basi sawa.

Wednesday, January 2, 2013

MUIGIZAJA WA BONGO MOVIE SAJUKI AFARIKI DUNIA

Muigizaji wa filamu za Bongo Movie, Sajuki amefariki alfajiri ya leo akiwa hospitali ya rufaa ya Muhimbili. Sajuki amekuwa akisumbuliwa na afya yake kwa muda mrefu hadi kufikia hatua ya kupelekwa India na juzijuzi serikali ilikua imejitolea kushughulikia matibabu yake. Kazi ya Mungu haina makosa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen.

Tuesday, January 1, 2013

HATIMAE KIM KARDASHIAN APATA UJAUZITO WA KANYE WEST, WENGI WATOA MAONI

Mkali Kanye West na Mpenzi wake Kim Kardshian wameweka wazi kuwa wanatarajia kupata mtoto mwaka huu kwani tayari Kim ni mjamzito. Ujauzito wa Kim umewekwa wazi kwa mara ya kwanza na Kanye alipokuwa kwenye show juzi jumapili lakini ilikuwa haijathibitishwa hadi leo asubuhi ambapo Kim ame post kwenye blog yake juu ya ujauzito wake. "It’s true!! Kanye and I are expecting a baby,We feel so blessed and lucky and wish that in addition to both of our families, his mom and my dad could be here to celebrate this special time with us. Looking forward to great new beginnings in 2013 and to starting a family." Alifunguka Kim. Sasa basi baada ya info hizo fuatilia comment za kwenye twitter za watu mbalimbali wakiwemo mastaa juu ya taarifa hiyo ya Kim na Kanye.


Ryan Seacrest: It's true :) @KimKardashian & @KanyeWest are having a baby! congrats u guys
La La: Kimmie's going to be a mommy!! Sending major love & congrats to @KimKardashian and @kanyewest! 2013 is starting off with LOVE and BLESSINGS!

Demi Lovato: So happy for you @KimKardashian.. Love you SO much and I'm so excited to babysit!! Miss you girly.. Once again... SO happy for you!!! Xox

Khloe Kardashian: Keeping secrets is hard with so many family members! Especially when you are so freaking excited. LOVE is everything!!!!

Kourtney Kardashian: Been wanting to shout from the rooftops with joy and now I can. Another angel to welcome to our family. Overwhelmed with excitement.

Lamar Odom: I'm excited for Kanye and my sister! There's nothing like bringing life into this world! Let's keep Gods blessings coming!

Kris Jenner: Im a happy girl !!!!!!!!! Wowza. Oh BABY BABY BABY!

Kylie Jenner: Congrats to this beautiful couple. I love you guys

Kendall Jenner: Whos excited about the KIMYE babbyyy?! :D weeee

Larsa Pippen: Congrats @KimKardashian. You're gonna be the best mom ever!! Can't wait

Tamar Braxton: What a baby boom! Happy for Kim&Kanye :-)

Jonathan Cheban: I better be the godfather...LOL!!

Brittny Gastineau: I am so beyonnnnnnd excited no words....#crying #emotional #bffforever @KimKardashian

Crystal Harris: Congratulations on your pregnancy @KimKardashian!

Devon Sawa: So Kim and Kanye are.... F*** it, who gives a s***.

Are you excited for the baby? Check out more of the Kardashians' wildest moments of 2012 above.